Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Kutoka - Kutoka 25

Kutoka 25:31-32

Help us?
Click on verse(s) to share them!
31Nawe fanya kinara cha taa cha dhahabu safi; hicho kinara na kifanywe cha kazi ya kufua, kitako chake, na mti wake, vikombe vyake, na matovu yake, na maua yake, vyote vitakuwa vya kitu kimoja nacho.
32Nacho kitakuwa na matawi sita yenye kutoka ubavuni mwake - matawi matatu ya kinara upande wake mmoja, na matawi matatu ya kinara upande wake wa pili.

Read Kutoka 25Kutoka 25
Compare Kutoka 25:31-32Kutoka 25:31-32