Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - 1Wafalme - 1Wafalme 16

1Wafalme 16:1-3

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Neno la BWANA lilimjia Yehu mwana wa Hanani kinyume cha Baasha, likisema,
2Ingawa Nilikuinua kutoka kwenye mavumbi na kukufanya kuwa kiongozi wa watu wangu Israeli, Lakini umetembea katika njia za Yeroboamu na umewafanya watu wangu Israeli kufanya dhambi, ili kunikasirisha dhidi ya dhambi zao.
3Tazama, Nitamfagia kabisa Baasha na familia yake na nitaifanya familia yako kama familia ya Yeroboamu mwana wa Nebati.

Read 1Wafalme 161Wafalme 16
Compare 1Wafalme 16:1-31Wafalme 16:1-3