Text copied!
CopyCompare
Biblia Takatifu - Yohana - Yohana 2

Yohana 2:1-3

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Siku ya tatu kulikuwa na arusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo,
2naye Yesu alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake.
3Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!”

Read Yohana 2Yohana 2
Compare Yohana 2:1-3Yohana 2:1-3