Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Warumi - Warumi 2

Warumi 2:27-28

Help us?
Click on verse(s) to share them!
27Na yeye asiyetahiriwa kwa asili hatakuhukumu kama akitimiza sheria? Hii ni kwa sababu una maandiko yaliyoandikwa na tohara pia lakini bado u mkiukaji wa sheria!
28Kwa maana yeye si Myahudi aliye kwa hali ya nje; wala kutahiriwa si kule ambako ni kwa nje tu katika mwili.

Read Warumi 2Warumi 2
Compare Warumi 2:27-28Warumi 2:27-28