Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Warumi - Warumi 10

Warumi 10:5-7

Help us?
Click on verse(s) to share them!
5Kwa kuwa Musa anaandika kuhusu haki ambayo huja kutokana na sheria: “Mtu ambaye hutenda haki ya sheria ataishi kwa haki hii.”
6Lakini haki ambayo inatokana na imani husema hivi, “Usiseme moyoni mwako, 'Nani atapaa kwenda mbinguni?' (Hii ni kumleta Kristo chini).
7Na usiseme, 'Nani atashuka katika shimo?”' (Hii ni, kumleta Kristo juu kutoka kwa wafu).

Read Warumi 10Warumi 10
Compare Warumi 10:5-7Warumi 10:5-7