Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Marko - Marko 9

Marko 9:6-10

Help us?
Click on verse(s) to share them!
6(Kwa kuwa hakujua nini cha kusema, waliogopa sana.)
7Wingu lilitokea na kuwafunika. Ndipo sauti ikatoka mawinguni ikisema, “Huyu ni mwanangu mpendwa. Msikieni yeye.”
8Ghafla, walipokuwa wakitazama, hawakumuona yeyote pamoja nao, isipokuwa Yesu tu.
9Walipokuwa wanateremka kutoka mlimani, aliwaamuru kutokumwambia mtu yeyote yale yote waliyoyaona, mpaka Mwana wa Adamu atakapofufuka kutoka kwa wafu.
10Ndipo waliyatunza mambo wao wenyewe. Lakini walijadiliana wao kwa wao ni nini maana yake “kufufuliwa kutoka kwa wafu”

Read Marko 9Marko 9
Compare Marko 9:6-10Marko 9:6-10