Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Wimbo wa Sulemani - Wimbo wa Sulemani 2

Wimbo wa Sulemani 2:9-12

Help us?
Click on verse(s) to share them!
9Mpenzi wangu ni kama swala au mtoto mdogo wa paa; angalia, amesimama nyuma ya ukuta wetu, akishangaa kupitia dirishani, akichungulia wavuni.
10Mpenzi wangu alizungumza na mimi na kusema, “Amka, mpenzi wangu; mzuri wangu, twende pamoja nami.
11Angalia, baridi imepita; mvua imeisha na kwenda.
12Maua yametokeza juu ya nchi; wakati wa kupunguza matawi na kuimba kwa ndege umekuja, na sauti za hua zimesikika nchini kwetu.

Read Wimbo wa Sulemani 2Wimbo wa Sulemani 2
Compare Wimbo wa Sulemani 2:9-12Wimbo wa Sulemani 2:9-12