Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Wimbo wa Sulemani 2:9-12 in Swahili (individual language)

Help us?

Wimbo wa Sulemani 2:9-12 in Biblia ya Kiswahili

9 Mpenzi wangu ni kama swala au mtoto mdogo wa paa; angalia, amesimama nyuma ya ukuta wetu, akishangaa kupitia dirishani, akichungulia wavuni.
10 Mpenzi wangu alizungumza na mimi na kusema, “Amka, mpenzi wangu; mzuri wangu, twende pamoja nami.
11 Angalia, baridi imepita; mvua imeisha na kwenda.
12 Maua yametokeza juu ya nchi; wakati wa kupunguza matawi na kuimba kwa ndege umekuja, na sauti za hua zimesikika nchini kwetu.
Wimbo wa Sulemani 2 in Biblia ya Kiswahili