Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Wimbo wa Sulemani - Wimbo wa Sulemani 1

Wimbo wa Sulemani 1:7-11

Help us?
Click on verse(s) to share them!
7Niambie, wewe ninaye kupenda, wapi unalisha mifugo yako? Wapi unapumzisha mifugo yako mchana? Kwa nini niwe kama mtu anaye akangaika miongoni mwa mifugo ya marafiki zako? Mpenzi wake anamjibu
8Kama haujui, uliye mzuri miongoni mwa wanawake, fuata nyayo za mifugo yangu, na ulishe watoto wako wa mbuzi karibu na hema za wachungaji.
9Nina kulinganisha, mpenzi wangu, na farasi mzuri wakike miongoni mwa farasi wa magari ya Farao.
10Mashavu yako ni mazuri na mapambo, shingo yako na mikufu ya madini.
11Nitakufanyia mapambo ya dhahabu yaliochanganywa na fedha. Mwanamke akiongea mwenyewe.

Read Wimbo wa Sulemani 1Wimbo wa Sulemani 1
Compare Wimbo wa Sulemani 1:7-11Wimbo wa Sulemani 1:7-11