Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Warumi - Warumi 1

Warumi 1:28-30

Help us?
Click on verse(s) to share them!
28Kwa sababu walikataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wafanye mambo yale yasiyofaa.
29Wamejawa na udhalimu wote, uovu, tamaa na ubaya. Wamejawa na wivu, uuaji, ugomvi, udanganyifu, na nia mbaya.
30Wao pia ni wasengenyaji, wasingiziaji, na wenye kumchukia Mungu. Wenye vurugu, kiburi, na majivuno. Wao ni watunga mabaya, na wasiotii wazazi wao.

Read Warumi 1Warumi 1
Compare Warumi 1:28-30Warumi 1:28-30