Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Warumi - Warumi 12

Warumi 12:6-9

Help us?
Click on verse(s) to share them!
6Tuna karama zilizo mbalimbali kwa kadiri ya neema mliyopewa. Ikiwa karama ya mtu ni unabii, na itendeke kwa kadiri ya imani yake.
7Ikiwa karama ya mtu ni huduma, na atumike. Ikiwa mwingine ana karama ya kufundisha, basi, afundishe.
8Ikiwa karama ya mtu ni faraja, basi, afariji. Ikiwa karama ya mtu ni kutoa, afanye hivyo kwa ukarimu. Ikiwa karama ya mtu ni kuongoza, na litendeke kwa uangalifu. Ikiwa karama ya mtu ni katika kuonesha huruma, na litendeke kwa furaha.
9Pendo lisiwe na unafiki. Chukieni uovu; mshikilie yaliyo mema.

Read Warumi 12Warumi 12
Compare Warumi 12:6-9Warumi 12:6-9