Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mhubiri - Mhubiri 4

Mhubiri 4:1-6

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Kisha tena nikafikiri kuhusu mateso yote yaliyo chini ya jua. Tazama machozi ya watu walioteswa. Hakuna anaye mfariji kwa ajili yao. Nguvu iko katika mikononi mwa watesaji, lakini wateswaji hawana mfariji.
2Hivyo nikawapongeza watu walio kufa, wale ambao tayari wamekufa, sio wanaoishi, wale ambao wako hai.
3Ingawa, bahati zaidi kuliko wote wawili ni yule ambaye hajaishi, yeye ambaye hajaona matendo yoyote mabaya ambayo yanafanyika chini ya jua.
4Kisha nikaona kwamba kila tendo la kazi na kila kazi ya utashi ikawa wivu wa jirani ya mtu. Huu pia ni mvuke na kujaribu kuchunga upepo.
5Mpumbavu hukunja mikono yake na hafanyi kazi, hivyo chakula chake in mwili wake.
6Lakini afadhari konzi ya faida pamoja na kazi ya haraka kuliko konzi mbili pamoja na kazi ambayo hujaribu kuuchunga upepo.

Read Mhubiri 4Mhubiri 4
Compare Mhubiri 4:1-6Mhubiri 4:1-6