Text copied!
CopyCompare
Biblia Takatifu - Marko - Marko 7

Marko 7:19-20

Help us?
Click on verse(s) to share them!
19kwa maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?” (Kwa kusema hivyo, Yesu alivihalalisha vyakula vyote.)
20Akaendelea kusema, “Kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia najisi.

Read Marko 7Marko 7
Compare Marko 7:19-20Marko 7:19-20