Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mambo ya Walawi - Mambo ya Walawi 3

Mambo ya Walawi 3:10-13

Help us?
Click on verse(s) to share them!
10na figo zote mbili na mafuta yanayofunika yaliyo karibu na kiuno kitambi kilicho karibu na ini na figo ataziondoa zote.
11Na kuhani atayatekeza yote kwa moto katika madhabahu kama sadaka ya chakula isogezwayo kwa moto kwa Bwana.
12Kama matoleo ya mtu ni mbuzi, ndipo ataitoa mbele ya Bwana.
13Ataweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi na atamchinja mbele ya hema ya kukutania. Ndipo wana wa Haruni watanyunyizia damu pande zote za madhabahu.

Read Mambo ya Walawi 3Mambo ya Walawi 3
Compare Mambo ya Walawi 3:10-13Mambo ya Walawi 3:10-13