10kwa maana imeandikwa: Atawaamuru malaika wake wakulinde,
11na tena, Watakuchukua mikononi mwao usije ukajikwaa mguu wako kwenye jiwe.”
12Lakini Yesu akamjibu, “Imeandikwa: Usimjaribu Bwana Mungu wako.”
13Ibilisi alipokwishamjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.