Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 48:9-10 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 48:9-10 in Biblia ya Kiswahili

9 Tumeutafakari uaminifu wa agano lako, Mungu, katikati ya hekalu lako.
10 Kama lilivyo jina lako, Mungu, hivyo ndivyo zilivyo sifa zako mpaka miisho ya dunia; mkono wako wa kuume umejaa haki.
Zaburi 48 in Biblia ya Kiswahili