Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 133:2-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 133:2-3 in Biblia ya Kiswahili

2 Ni kama mafuta mazuri kichwani yashukayo ndevuni. Ndevu za Haruni, na yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
3 Ni kama umande wa Hermoni uangukao milimani pa Sayuni. Maana huko ndiko Bwana alipoamuru baraka, naam uzima milele na milele.
Zaburi 133 in Biblia ya Kiswahili