Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 121:2-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 121:2-4 in Biblia ya Kiswahili

2 Msaada wangu unatoka kwa Yahwe, aliyezifanya mbingu na nchi.
3 Hatauacha mguu wako uteleze; yeye akulindaye hatasinzia.
4 Tazama, mlinzi wa Israeli hatasinzia wala hatalala usingizi kamwe.
Zaburi 121 in Biblia ya Kiswahili