Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Warumi 3:29-30 in Swahili (individual language)

Help us?

Warumi 3:29-30 in Biblia Takatifu

29 Au je, Mungu nu Mungu wa Wayahudi tu, ama pia wa watu wa mataifa mengine? Naam, wa mataifa mengine pia.
30 Mungu ni mmoja, naye atawakubali Wayahudi kuwa waadilifu kwa imani yao, na watu wa mataifa mengine pia kwa imani yao.
Warumi 3 in Biblia Takatifu

Warumi 3:29-30 in Biblia ya Kiswahili

29 Au Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu? Je yeye si Mungu wa watu wa Mataifa pia? Ndiyo, wa mataifa pia.
30 Ikiwa kwa kweli Mungu ni mmoja, atawahesabia haki walio wa tohara kwa imani, na wasiotahiriwa kwa njia ya imani.
Warumi 3 in Biblia ya Kiswahili