Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Warumi - Warumi 3

Warumi 3:29-30

Help us?
Click on verse(s) to share them!
29Au Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu? Je yeye si Mungu wa watu wa Mataifa pia? Ndiyo, wa mataifa pia.
30Ikiwa kwa kweli Mungu ni mmoja, atawahesabia haki walio wa tohara kwa imani, na wasiotahiriwa kwa njia ya imani.

Read Warumi 3Warumi 3
Compare Warumi 3:29-30Warumi 3:29-30