Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Warumi 14:23 in Swahili (individual language)

Help us?

Warumi 14:23 in Biblia Takatifu

23 Lakini mtu anayeona shaka juu ya chakula anachokula, anahukumiwa kama akila, kwa sababu msimamo wa kitendo chake haumo katika imani. Na, chochote kisicho na msingi wake katika imani ni dhambi.
Warumi 14 in Biblia Takatifu

Warumi 14:23 in Biblia ya Kiswahili

23 Aliye na mashaka amehukumiwa ikiwa anakula, kwa sababu haitokani na imani. Na chochote kisichotokana na imani ni dhambi.
Warumi 14 in Biblia ya Kiswahili