Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 9:3-6 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 9:3-6 in Biblia ya Kiswahili

3 Amewatuma watumishi wake kupeleka mialiko na kutoka mahali pa juu sana kwenye mji anaita:
4 “Wale wasiofunzwa waje hapa!” anawaambia wale wasionaufahamu.
5 Njoo, ule chakula, na unywe divai nimeshaichanganya.
6 Acheni njia zenu za kijinga, na mkaishi; tembeeni katika njia ya ufahamu.
Mithali 9 in Biblia ya Kiswahili