Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 9:2-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 9:2-4 in Biblia ya Kiswahili

2 Ameandaa wanyama wake kwa chakula cha usiku; ameichanganya divai yake; na kuandaa meza yake.
3 Amewatuma watumishi wake kupeleka mialiko na kutoka mahali pa juu sana kwenye mji anaita:
4 “Wale wasiofunzwa waje hapa!” anawaambia wale wasionaufahamu.
Mithali 9 in Biblia ya Kiswahili