Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 7:14-17 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 7:14-17 in Biblia ya Kiswahili

14 leo nimetoa sadaka yangu ya amani, nimelipa nadhili yangu,
15 hivyo nilikuja kukutana nawe, kuutafuta uso wako kwa hamu, na sasa nimekupata.
16 Nimeweka matandiko juu ya kitanda changu, kitani za rangi kutoka Misri.
17 Kitanda changu nimenyunyizia manemane, udi na mdalasini.
Mithali 7 in Biblia ya Kiswahili