Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 31:28-31 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 31:28-31 in Biblia ya Kiswahili

28 Watoto wake huinuka na kumwita heri na mume wake humsifia, akisema,
29 “Wanawake wengi wamefanya vizuri, lakini wewe umewapita wote.”
30 Madaha ni udanganyifu, uzuri ni ubatili; bali mwanamke amchaye Yehova, atasifiwa.
31 Mpeni tunda la mikono yake na kazi zake zimsifu katika malango.
Mithali 31 in Biblia ya Kiswahili