Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 2:16-18 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 2:16-18 in Biblia ya Kiswahili

16 Busara na hekima zitakuokoa kutoka kwa mwanamke malaya, kutoka kwa mwanamke anayetafuta visa na mwenye maneno ya kubembeleza.
17 Yeye humwacha mwenzi wa ujana wake na kusahau agano la Mungu wake.
18 Maana nyumba yake huinama na kufa na mapito yake yatakupeleka kwa wale walioko kaburini.
Mithali 2 in Biblia ya Kiswahili