Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 24:5-6 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 24:5-6 in Biblia ya Kiswahili

5 Shujaa wa hekima ni imara, na mtu wa maarifa huongeza nguvu zake;
6 maana kwa uongozi wa busara unaweza kufanya vita na kwa washauri wengi kuna ushindi.
Mithali 24 in Biblia ya Kiswahili