Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 24:30-32 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 24:30-32 in Biblia ya Kiswahili

30 Nilikwenda jirani na shamba la mtu mvivu, nikapita kwenye shamba la mzabibu la mtu asiye na akili.
31 Miiba imeota kila sehemu, ardhi ilikuwa imefunikwa kwa upupu, na ukuta wake wa mawe ulikuwa umebomoka.
32 Kisha nikaliona na kufikiria juu yake; nikatazama na kupokea mafundisho.
Mithali 24 in Biblia ya Kiswahili