Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 21:2-7 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 21:2-7 in Biblia ya Kiswahili

2 Kila njia ya mtu ni sawa katika macho yake mwenyewe, lakini ni Yehova anayeipima mioyo.
3 Kutenda haki na adili hukubaliwa zaidi na Yehova kuliko sadaka.
4 Macho ya kiburi na moyo wa majivuno- taa ya waovu- ni dhambi.
5 Mipango ya mwenye juhudi huelekea kwenye mafanikio tu, bali kila mtu anayetenda kwa haraka huelekea umasikini.
6 Kujipatia utajiri kwa ulimi wa uongo ni mvuke unaopita upesi na mtego ambao unafisha.
7 Vurugu ya waovu itawaburuta mbali, maana wanakataa kutenda haki.
Mithali 21 in Biblia ya Kiswahili