Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 20:20-24 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 20:20-24 in Biblia ya Kiswahili

20 Kama mtu atamlaani baba yake au mama yake, taa yake itapulizwa katikati ya giza.
21 Urithi uliopatikana mwanzoni kwa haraka utakuwa na mema kidogo mwishoni.
22 Usiseme “Mimi nitakulipiza kwa kosa hili” Msubiri Yehova na yeye atakuokoa.
23 Yehova huchukia mizani isiyo sawa na vipimo vya udanganyifu si vizuri.
24 Hatua za mtu huongozwa na Yehova; namna gani basi ataifahamu njia yake?
Mithali 20 in Biblia ya Kiswahili