Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 18:7-10 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 18:7-10 in Biblia ya Kiswahili

7 Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake na hujinasa mwenye kwa midomo yake.
8 Maneno ya mmbea ni kama chembe tamu na hushuka katika sehema za ndani sana kwenye mwili.
9 Basi, ambaye ni mzembe katika kazi yake ni ndugu yake anayeharibu wengi.
10 Jina la Yehova ni mnara imara; atendaye haki hukimbilia na kuwa salama.
Mithali 18 in Biblia ya Kiswahili