Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 15:26-28 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 15:26-28 in Biblia ya Kiswahili

26 Yehova huyachukia mawazo ya watu waovu, bali maneno ya upole ni safi.
27 Mporaji huleta shida kwenye familia yake, bali yeye ambaye huchukia rushwa ataishi.
28 Moyo wa yule atendaye haki hutafakari kabla ya kujibu, bali kinywa cha watu waovu humwanga ubaya wake wote.
Mithali 15 in Biblia ya Kiswahili