Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mhubiri - Mhubiri 3

Mhubiri 3:21-22

Help us?
Click on verse(s) to share them!
21Ni nani ajuaye kama roho ya mwanadamu inaenda juu na roho ya wanyama inaenda chini ya nchi?
22kwa hiyo tena nikatambua kwamba hakuna lililo jema kwa yeyote zaidi ya kufurahia kazi yake, kwa kuwa hilo ndilo jukumu lake. Ni nani awezaye kumleta tena kuona kinachotokea baada yake?

Read Mhubiri 3Mhubiri 3
Compare Mhubiri 3:21-22Mhubiri 3:21-22