Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mathayo 23:26 in Swahili (individual language)

Help us?

Mathayo 23:26 in Biblia Takatifu

26 Mfarisayo kipofu! Kisafishe kikombe ndani kwanza na nje kutakuwa safi pia.
Mathayo 23 in Biblia Takatifu

Mathayo 23:26 in Biblia ya Kiswahili

26 Enyi Mafarisayo vipofu, safisheni kwanza ndani ya kikombe na ndani ya sahani, ili upande wa nje nao pia uwe safi.
Mathayo 23 in Biblia ya Kiswahili