Text copied!
CopyCompare
Biblia Takatifu - Matendo - Matendo 8

Matendo 8:33-34

Help us?
Click on verse(s) to share them!
33Alifedheheshwa na kunyimwa haki. Hakuna atakayeweza kuongea juu ya kizazi chake, kwa maana maisha yake yameondolewa duniani.”
34Huyo Mwethiopia akamwambia Filipo, “Niambie, huyu nabii anasema juu ya nani? Anasema mambo haya juu yake yeye mwenyewe au juu ya mtu mwingine?”

Read Matendo 8Matendo 8
Compare Matendo 8:33-34Matendo 8:33-34