Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mambo ya Walawi - Mambo ya Walawi 11

Mambo ya Walawi 11:10-11

Help us?
Click on verse(s) to share them!
10Lakini viumbe wote hai wasio na mapezi na magamba waliomo baharini au mitoni, pamoja na wale waendao majini na viumbe hai waliomo majini —watakuwa chukizo kwenu.
11Kwa kuwa watakuwa chukizo, msile nyama yao, pia mizoga yao sharti itakuwa chukizo.

Read Mambo ya Walawi 11Mambo ya Walawi 11
Compare Mambo ya Walawi 11:10-11Mambo ya Walawi 11:10-11