Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Hesabu 25:17-18 in Swahili (individual language)

Help us?

Hesabu 25:17-18 in Biblia ya Kiswahili

17 “Watendee Wamidiani kama maadui na uwaangamize, kwa kuwa waliwatendea kama maadui
18 kwa kuwadanganya. Waliwaongoza katika uovu kwa swala la Peori na kwa swala la dada yao Cozibi, binti wa kiongozi wa Wamidiani, ambaye aliuawa siku ile ya tauni kwa swala la Peori.”
Hesabu 25 in Biblia ya Kiswahili