Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Hesabu 24:15-16 in Swahili (individual language)

Help us?

Hesabu 24:15-16 in Biblia ya Kiswahili

15 Balaamu alianza unabii huu. Akisema, “Balaamu mwana wa Beori anasema, Mtu yule aliyefumbuliwa macho yake.
16 Huu ni unabii wa mtu alisikiaye neno la Mungu, aliye na maarifa toka kwake Yeye aliye juu, aliye na maono kutoka kwa Mwenyezi, Yeye ambaye humpigia magoti macho yakiwa yamefumbuliwa.
Hesabu 24 in Biblia ya Kiswahili