Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 95:3-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 95:3-5 in Biblia ya Kiswahili

3 Kwa maana Yahwe ni Mungu mkuu na Mfalme mkuu juu ya miungu yote.
4 Mkononi mwake zimo bonde za dunia; navyo vilele vya milima ni vyake.
5 Bahari ni yake, maana aliiumba, na mikono yake ilitengeneza nchi kavu.
Zaburi 95 in Biblia ya Kiswahili