Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 8:2-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 8:2-3 in Biblia ya Kiswahili

2 Kutoka katika midomo ya watoto na vichanga umeumba sifa kwa sababu ya utukufu wako, ili kuwanyamazisha maadui wote na walipa kisasi wote.
3 Ninapozitazama mbingu, ambazo vidole vyako vimeumba, mwezi na nyota, ambazo umeziweka kila mmoja katika nafasi yake,
Zaburi 8 in Biblia ya Kiswahili