Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 87:5-7 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 87:5-7 in Biblia ya Kiswahili

5 Itasemwa juu ya Sayuni, “Kila mmoja wa hawa alizaliwa katika yeye; na yeye Aliye Juu atamuimarisha.
6 Yahwe anaandika katika kitabau cha sensa ya mataifa, “Huyu alizaliwa humo.” Selah
7 Hivyo waimbaji na wachezaji kwa pamoja waseme, “chemchem zangu zimo kwako.”
Zaburi 87 in Biblia ya Kiswahili