Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 87:4-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 87:4-5 in Biblia ya Kiswahili

4 Ninataja Rahabu na Babeli kwa wafuasi wangu. Tazama, Filisti, na Tiro, pamoja na Ethiopia nao watasema, 'Huyu alizaliwa humo.'”
5 Itasemwa juu ya Sayuni, “Kila mmoja wa hawa alizaliwa katika yeye; na yeye Aliye Juu atamuimarisha.
Zaburi 87 in Biblia ya Kiswahili