Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 84:1-2 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 84:1-2 in Biblia ya Kiswahili

1 Ni jinsi gani maskani yako yapendeza, Ewe Yahwe wa Majeshi!
2 Ninashauku ya kuingia nyumbani mwa Yahwe, nimechoka sana kwa sababu ninatamani sana kuwa nyumani mwako. Moyo wangu na mwili wangu wote wakuita wewe Mungu uliye hai.
Zaburi 84 in Biblia ya Kiswahili