Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 83:1-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 83:1-3 in Biblia ya Kiswahili

1 Ee Mungu, usikae kimya! usitupuuze na kustarehe, Ee Mungu.
2 Tazama, adui zako wanafanya vurugu, na wale wakuchukiao wameinua vichwa vyao.
3 Wanafanya hila juu ya watu wako na kwa pamoja kupanga njama dhidi ya wale uwalindao. Wamesema,
Zaburi 83 in Biblia ya Kiswahili