Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 83

Zaburi 83:1-3

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Ee Mungu, usikae kimya! usitupuuze na kustarehe, Ee Mungu.
2Tazama, adui zako wanafanya vurugu, na wale wakuchukiao wameinua vichwa vyao.
3Wanafanya hila juu ya watu wako na kwa pamoja kupanga njama dhidi ya wale uwalindao. Wamesema,

Read Zaburi 83Zaburi 83
Compare Zaburi 83:1-3Zaburi 83:1-3