Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 79:9-10 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 79:9-10 in Biblia ya Kiswahili

9 Utusaidie, Mungu wa wokovu wetu, kwa ajili ya utukufu wa jina lako; utuokoe na usamehe dhambi zetu kwa ajili ya jina lako.
10 Kwa nini mataifa yalazimike kusema, “Mungu wao yuko wapi?” Damu ya watumishi wako ambayo ilimwagwa na ilipize kisasi juu ya mataifa mbele ya macho yako.
Zaburi 79 in Biblia ya Kiswahili