Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 73:25-26 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 73:25-26 in Biblia ya Kiswahili

25 Ni nani niliye naye mbinguni isipokuwa wewe? Hakuna nimtamaniye duniani isipokuwa wewe.
26 Mwili wangu na moyo wangu huwa dhaifu, bali Mungu ndiye nguvu ya moyo wangu daima.
Zaburi 73 in Biblia ya Kiswahili