Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 73:15-18 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 73:15-18 in Biblia ya Kiswahili

15 Kama ningesema, “Ningesema mambo haya,” kumbe nigewasaliti kizazi hiki cha watoto wenu.
16 Ingawa nilijaribu kuyaelewa mambo haya, yalikuwa ni magumu sana kwangu.
17 Ndipo nilipoingia patakatifu pa Mungu na kuelewa hatma yao.
18 Hakika wewe huwaweka penye utelezi; huwaangusha mpaka palipoharibika.
Zaburi 73 in Biblia ya Kiswahili