Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 72:6-8 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 72:6-8 in Biblia ya Kiswahili

6 Naye apate kuja kama mvua juu ya nyasi zilizokatwa, kama manyuyu yanyunyizayo nchi.
7 Mwenye haki na astawi kwa wakati wake, na amani iwepo kwa wingi mpaka mwezi utakapotoweka.
8 Na awe na mamlaka toka bahari na bahari, na kutoka Mto hadi miisho ya dunia.
Zaburi 72 in Biblia ya Kiswahili