Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 72:13-15 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 72:13-15 in Biblia ya Kiswahili

13 Yeye huwahurumia maskini na wahitaji, na huokoa maisha ya wahitaji.
14 Huyaokoa maisha yao dhidi ya mateso na vurugu, na damu yao ni ya thamani machoni pake.
15 Naye apate kuishi! Na dhahabu za Sheba apewe yeye. Watu wamuombee yeye siku zote; Mungu ambariki daima.
Zaburi 72 in Biblia ya Kiswahili